Zambia iko pesa

Wakulima hawaezi tembea kwa barabara, kila mkulima iko na airstrip yake IMG_20230329_140653.jpg

Niaje Bazenga … habari ya oleguruoni. Ati ulisema ile caravan ya cessna used utoka mita ngapi mdau.

tafuta around 10 million

Hapa kuna 14 seater plane, 130 million bei ya kuongea :smiley:

1680090211380.png

Kuna pia ya 2.5 million

watu wote wa nanyuki wanajua io ndege

Hio ya 2.5 inabeba mtu ngapi. Sitaki patia bonobo air lift.

Hii si ni ile ilianguka juzi pale marigat kambi samaki. Ni ya ma conservancies … uchapa lap hadi lake Nakuru … ua naiona mara mob.

With Ksh2.7 million you can get a used Cessna 150 in good working condition. Hii ni bei ya used Toyota Harrier.

The Cessna 150 is a two-seat tricycle gear general aviation airplane that was designed for flight training, touring and personal use.
1680091282519.png

Hii iko sawa … hakuna ya 5 seater banae.

Kuna four-seater, cessna 172

1680093104123.png

Hapo sasa. Say no more …

Tapeli ongea kama mtu wa biashara ya matatu buana. Sema 2.7 ni bei ya slightly used ‘guruneti’. Au Sio?:D:D