ZAKAYO atatumaliza!

The life expectancy for Kenya is 60 years then NSSF and GoK increases our pension contributions but pegs the retirement age at 60yrs. It doesn’t take much thinking to notice this is a scam![ATTACH=full]495049[/ATTACH]

Sijaelewa tier 1&2 non is adding upon 2160…2160 is derived from where?

Life expectancy iko 60 sababu maisha after 60 ni tabu bila pesa ya uzeeni. 2160 itapatia retirees kitu ya kukula tuone kama wanaeza ishi hadi 70

It is hard being an office waka. Everyone is out to fleece you. Hata huwezi tuma msee akununulie simiti Sheikh Karume Road. Atakugonga 20 bob kwa vei ya simiti na 50 bob ya msee wa trolley yet amebeba simiti kwa mabega.

Unaskia msee amelipishwo mzigo ya tuktuk 250 no kama yeye amalipia trip ya to and fro. Ukijiendea mwenyewe hata dere a nakushow uongeze chwani pekee yake. Recently on a site installation, the guy sent to buy the trunking lied that he had purchased 5 pieces kufika site zilikuwa ni nne pekee yake. Shinda ni ati kule site ilikuwa ni far off into the bundus. Kuendea that one trunking ilimgharimu mwenye site 350 bila counting the amount ya 250 yule msee alimuibia. Sorry state of things in this country. Ukiona msee akijiendea vitu kwa soko na kujifanyia deliveries zenye anaziman kama life ujue ni kubaya

I used to think kalenjins were all farmers until I met Zakayo who was collecting taxes

good one!

Most definitely a scam. In every country, the life expectancy is always taken into account when determining retirement age. It’s what actuaries do.

Life expectancy in Kenya is 72 yrs for women and 70 for men WTF are you people talking about