“Mnataka serikali ianze na wadosi ama ianze na mtu wa chini? Si nyinyi mnataka serikali ianze na watu wa chini? Mnataka tubadilishe katiba… ama tubadilishe uchumi…??Na ndio maana tunasema bottom…up bottom…up, wangapi wanasema bottom up nione kwa mikono! …mikono!.. mikono!..salaaaaleh… kumbe nyinyi wote ni watu wangwana”
Yenyewe Zakayo is good na mdomo!
He is not capable of speaking the truth. Pathological liar.
Zakayo and Riggy Gee are really out of their depth…
Even former allies like Mudavadi and Ndii don’t agree with their policies any more …