Chilling na brandy kama kawaida kwa cuzos place… mko wapi talkers??
[ATTACH=full]24030[/ATTACH]
Chilling na brandy kama kawaida kwa cuzos place… mko wapi talkers??
[ATTACH=full]24030[/ATTACH]
Nacheki movies and Documentaries on Kodi …Am under medication…hii weekendi akuna keroro for me… maboy wananipigia simu ati J iz vipii…kamu tusererekee kajamhuri day…nawasho zii…siku kama ya leo ndo wakenya uenda club moja …apo mtu uweza pata ma singo mum wengi sana…waaaa wana bahati J ako under meds
PS: na hio kitamba ya meza jo!! kwani uyo cuzo wako ni mtu wa mashida shida aje…hata meza yenyewe inaka kama ile za mama pima wa changaa + kiti ya plastic…i give up
Hehehe ni kameza ka gazebo, jamaa mzae #TBT… Juu ya hiyo maneno tuendelee…
[ATTACH=full]24031[/ATTACH]
Hata Glass man akuna? anyway jibambeni waaaaaaaaa
Tumbler ndiyo zetu, I personally prefer plastic over glass [too many breakages]…
Crasher kujia martell uchanganyikiwe
vitamba tena!!:eek:
enda phoenix kuna 1, the day kennedy died
2. Rise of ISIS
Sorry 4 the late reply
viti za plasic na meza ya mbao???o_Oo_O
ndio kuingia nyumbani jana tumechinja mbuzi tukala huko kenol, tukaunda mutura, tuka chemsha other parts, tukapatia wazee mzinga za pombe jioni tukamalizia kwa some pub between kahawa sukari na kahawa wendani tangu jana asubuhi saa hii ndio nafika nyumbani
congratulations welcome to walevi sacco
Options for me today;
… hmm … why not both? … but alcohol has to be later so :(
NA USIKUJE KUKOJOLEA KIJIJI,TUTAKATA HIYO KINEMBE
Na badala ya kulala umekuja ktalk? Kweli manki amekalia watu chapati.
@Ice_Cube i was such a good shot that they gave me tickets to the premiere of Star Wars; The Force Awakens … pls keep your schedule for 18th dec free, yes?
Yes pretty that would be great! while at It I can also show you which other bulls eyes I can comfortably hit, yes?
:D;)