Yule Mzee wetu SSB

Bakhresa tena!

Afungue tu huenda Bando likapungua

Hizo ni ndoto za mchana ukizingatia kwa sasa kuna kila mbinu inafanyika ili TTCL,ndio uwe mtandao wa taifa!!!utake usitake waulize halotel yanayoendelea kuwa kuta sio kwa bahati mbaya!!hata makampuni yanayotengeneza maji ya kunywa ya kwenye chupa!!nako tunakoendea watapata tabu sanaa!!kwani kiwanda cha maji cha jeshi ndio kinakuwa muuzaji mkubwa wa maji kwenye hafla zote za serikali!!!halafu unaniambia unajenga mazingira wezeshi kwa wawekezaji??

Dadavua kidogo mkuu!! Kuna kiwanda cha maji cha jeshi? Maji yao yanaitwaje?

kweli mkuu tutoa gizani kwa hilo.

yanaitwa UHURU PEAK,kiko mgulani jkt,na wakati anakizindua alisema atashangaa atakapokwenda ofisi yoyote ya serikali akute maji tofauti na uhuru peak!!!

Ngoja tuone

Samahani kwa kuchelewa kukuza picha… tehteehhh
Naomba kuwasilisha…[ATTACH=full]180025[/ATTACH]

Yanaitwa UHURUPEAK na pale Mlimani city siku ya kufuturu yalikuwepo…

Haki Ngowi‏ @Hakingowi
FollowFollow @Hakingowi
More
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. [S]@[/S][B]MagufuliJP[/B] akikagua kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa ya UHURU PEAK baada ya kuzindua rasmi kituo cha uwekezaji cha JWTZ kupitia SUMA-JKT kilichopo Mgulani jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2018.Noma sana

Kwa hiyo hafla zote za serikali watayatumia hayo Maji Sio

Atuletee na bia sasa

kumbee wasije wakatoa huduma mbovu kama mashirika mengine

Na hiyo ni amri

Ndio lengo hasa!

Unaanza uchokozi

Hahahaah sio uchokozi si anafanya biashara??

Ni jambo jema sana

Labda kwa baadae kwa sasa wako vizuri sana…