Yule jamaa wa degree ndiye huyu

2 Likes

Bandit pia apana tambua employment. Iko on tour 24/7 nauza ngamia mbili after a week.

4 Likes

naskia wewe ni dereva ya county

9 Likes

Awa watu waku flossiya online strangers wana kuwanga na room temperature IQ…nakumbuka pia @magreb akini flossiya na kiatu ya bata

7 Likes

Bandit ako chonjo…empty debes wako kuleeeeee

Are you taking alcohol while driving?

5 Likes

Kumbe @Gaza aka @Bandit anavaa chinese knock offs afyer kuuza ngamia

3 Likes

Hio gari imengwara na thickets mkisanya mifungo or TSE TSE flies ?

Pharmacy ako very busy on the weekends. Akiuza mkia pale brothel ya mlolongo

Siwezi Toka nje na takataka kama hii.

1 Like

Haha auze izo BF Goodrich anunue viatu za maana. Ama ni ule msichana wa ungwaro alichagua izi.

Hata si hivyo, watu hapa huwa birrionaires not billionaires

1 Like