Youtube "likes" in comment section

Karibu kila Kenyan video on youtube kuna watu whoring for likes. What’s with this stupid behaviour? Ama watu wamepata njia ya kumonetize likes?

[ATTACH=full]375394[/ATTACH]

Ka ukona Netflix search for a docuseries called the social dilemma. Utaelewa the psychology behind this. Mwenye aliunda iyo like button alikua anajua chenye anafanya

Tufafanulie elder hatuna hiyo time ya ku watch netflix

Ni ndefu and complicated ndo maana namwambia aone. But basically io like button initially uyo jamaa aliunda I think anaitwa Justin something intended iwe ya Ku spread positivity. Eventually ikakua njia kama ya kua popular watu wakaanza kuoma likes Mob inamaanisha watu wengi wana agree na wewe. So of course people slowly began to change Tabia zao ndo wapate izo likes which in their head means wako popular. io story imeleta a lot of negativity na ma depression mob.

These companies invest heavily in creating algorithms and AI that make you keep coming back. Zinacheza na hormones zako msee. Hao ma jamaa unaona wanaomba likes hapo youtube get a shot of dopamine among other things ju anafeel valued the more anapata likes. Inaanza kua kama addiction. I’ve tried to summarise it a bit but there’s more to it. Ile siku utapata wakati just give it a watch utashangaa sana

Makes sense. Hii explanation also applies hapa kwa kijiji the like button. Don’t you get happy when you post something and you get alot of likes? Una feel ni kama ume conqure

Hehe ndo io umeshika kabisa. Ndo utaona mtu ana upost umeffi tu akitaka kupendwa. No one wants to be an outcast

Na bado ingine inaitwa The Great Hack.
It’s closely related to Social Dilemma

its worse wih kenyans ,they are whoring on cosmic levels.

21st century junkies

Nimelike hii comment

Was thinking the same.
Kwanza kwa MKZ ngeos (MOST) are just looking for approval eti “How do I look”? TF?!?!?!

Lakini pia uache umama hizi comments niliona kwa screenshot ilikua inapromoteya ngoma ya vera sidika unafanya nini huko?

Na elders mkiamua wisdom huwa mna come through sana, I used to see this cartoon picture of a guy Od’ing in his office with a syringe in his veins full of likes.

People need to feel significant, and we chase it relentlessly.

People never quite understand how fickle the mob is, nobody will love you as gently and honestly as yourself.

Hii kijiji is a learning hub. The University of Everything. But you gotta sift through here and there. Sweeps za huku ni therapy

Ukiona ikipromote ngoma ya vera sidika ulikuwa unafanya nini huko?

:smiley: :smiley: :smiley: ata Mimi nilitembezewa sweep mpaka nikaamua issorait