Youths mrudi Kazi

[MEDIA=twitter]1360235643675246596[/MEDIA]

Warudi kazi gani tena…

car grants za mca ndo priority sasa

Kazi ya kutafuta kazi.

Enyewe Kuna shida na hii gava…lakini tumepangwa Kama chess.

The hand that gives is above the hand that takes…

People are broke out there, maybe next admin will make city life appealing but as is heri kazi mashinani…no stupid laws, no thieving kra, no politics its you and your produce.

Hehehe:D

We don’t have a government, rather a group of thugs n brats. Hao youths warudi kazi wamefungiwa?

Tourism and hospitality is dead.
Dimwits kazi ni kuiba then servant wao ako na guts kuambia watu warudi kazi? Kazi gani?
Kuchana jaba? Kupiga ngeta? Kuiba? Kazi gani?

Hizo billions wameficha kwa vaults zao, pesa za kubuy wheelbarrow, car Grant’s za MCAs, 5k za Sagana…hizo zingesustain Kazi mtaani.

Mu-organize protests ama mfunge micoondu. As things stand, wakenya wako sawa.

The same people who complained of wheelbarrows were the ones who gave jembes and slasher to the youth. Ile hypocrisy inakuwa huku Kenya ni hali ya juu.

Kenyans are rich, if you are poor and still using matatus everyday you are just lazy and foolish

:D:Dwake me up when its time for insurrection…

Wheelbarrow you blockhead?
You were addressing this village juzi na 2000 Jubilee devt threads a day, how you start promising youths with wheelbarrows and they cheer you is beyond any kind of schizophrenic reasoning.

Nimeeleza wadau hapa mara nyingi … pesa iko mashinani. Lots of potentially great opportunities with smart farming upcountry, both in agriculture and livestock sector. If you have access to land,reliable water supply and brains.

Hehe usijali. Tumbo haitambui reasoning.

Vile @Eng’iti amekuambia

Mkisiii mrogi,huyo bibi yako mungikiress utunze yeye vyema

This is the way

The tweet is unavailable. However, I strongly believe that our leaders should not mention our youth anywhere during their campaigns. Wawache tuu vile wamewawacha throughout. Wapambane na wamama. The youth are easily swayed with a few coins and false promises because they are desperate.
A situation largely condoned by most of the leaders.