Ala?
[MEDIA=twitter]1406167989444096005[/MEDIA]
Ala?
[MEDIA=twitter]1406167989444096005[/MEDIA]
Weak personal data protection systems in the public sector means that in the near future identity theft will become more rampant.
Imagine a data breach on Huduma portal…
Si ni wewe ukiingia Kwa mall, unapewa book na watchie. unaandika details zako zote.
Mimi iyo book huanga namake sure nimekosea namba moja kimaksudi. Ama naandika extra numbers
Niliona huyo Mama wa lands swearing On JKL vile the new system is secure nikacheka tu. Ni vile tu our information is useless.
alafu pia huduma number…mimi sikuichukua
International criminals watakuwa na field day stealing our identities.
Huwa naandika kama kuku.
It won’t remain useless forever. Nikapata database ya personal information for as many Kenyans as possible nitulie 10 years. In 10+ years that useless information will be worth millions.
True