Your Opinion

Nimeona kila time wife ya my friend akitravel upcountry na watoi, lazima mboch apewe off ama akuje morning after Mzee ameenda job a clean keja, aclean nguo na apike, then aondoke kabla bwana arundi, hapa bibi Hana trust na bwana ama ana guard territory??

Tulisema, shimo yeyote yakike, hauko related nayo kwa nyumba yako lazima uchovye.

Ondokea biashara ya wengine mind your own

Yeah bwana anaweza pita na kitu, kwa mboch dawa ni kuleta mathe ako in her 50s na akuwe ugly kama sister ya Agwambo. Ukiona mwanaume amepita na huyo basi jua huyo mwanaume hajiheshimu hata kidogo

hata mimi bibi huenda na mboch akienda ocha na ma junior , sijawai muuliza kwa nini , na sitauliza :D:D:D:D

:D:D:D

:D:D:D

That is one wise woman of the house.

Huyo hozband lazima ni mang’aa… Ni vile huwa anaosha macho na huyo maid. So mubibi anajua very soon ataosha rungu …

Na hio time mzee yuko job sisi ndyo tunakula hizo vitu…

Boss tupe hekaya unakamua mali safi ama ni ma chokosh…

Tulizoea. Hata mimi bibi akienda hizo kazi za ugaibuni wiki mbili mtoi hupelekwa kwao na mboch anafurushwa hadi arudi. But sitauliza mbona.

si ajabu huyo bibi anatombwa nje, na anaogopa kupewa same medicine

Wewe unaweza kamua hata ng’ombe. Ndio maana