Congratulations on getting a new ride just avoid the leeches (college girls) if you want to enjoy your ride in peace.
yep, thats my life now bruh
:D:D he will just have to learn it the hard way no two ways about it
by the way is it a Mazda axella by any chance?
gari ya mia tatu??
Its much expensive than that, I just know someone that recently got such and is quite excited unampigia anasema ako Isinya ameenda tu kuona kuna kaa aje. But let @phantom enjoy his new love
WEWE HATER WACHA KIJANA AENJOY GARI YAKE WEWE ENDESHA BAISKELI NA UENDELEE KUSAVE UNUNUE BAJAJ
Well done @phantom. Get a serious lady and settle down. Usichelewe Sana ukiji mix Na hao watu.
Hapo umenena brasa. Naona wasee wengi wanaumia Na ma interest rates za juzi mpaka wakiskia msee amefanya kitu bila loan,inabidi Tu wamuingilie.
siyo hiyo. but you are close. now let me not dox myself
Enjoy brathe.
Sio first ride pekee hukuja na excitement. Ata ile siku nitanunua Porsche bado nitafeel hio excitement.
Mtumba niliuziwa na mhindi lakini nikashindwa kulipa pesa zote, akaniachia lakini. Godfather wangu Nairobi.
So maboy wangu wanne walikua wanachanga kila wiki, tunacarpool kwenda shule. Hungejua gari ni ya nani, lakini kuna masiku tulikua tunashika matatu tukisota, sana sana immediately after kulipa rent.
Hakuna vile ingekuja na pussy juu ilikua inajaa maboy kila day. At times ilikua club, saa zingine library. Saa ingine lodging, cab anything.
Enjoy hustle yako.
What type of car?
Donāt worry, with proper training a Manki can drive too.
Siwezi chukua loan kununua gari, either ninunue cash ama nikae bila.
You may have to qualify that statement. A commercial vehicle?
Congrats. Enjoy your new ride man. Personal mobility opens up new opportunities and possibilities. No place is too far. Pia sisi twaja. Polepole.
Tusahau mambo za loan that wasnāt the point.
good feelingā¦first car Nissan Dbl cab 3.2litre turboā¦good machineā¦
Pongezi kaka.
:D:D:D:D:D:D:D