You cannot age whisky for 12 years to come and mix it with coke

Ndio mmekuwa advised.

“Whisky now choice drink for toasting - Business Daily” https://www.businessdailyafrica.com/bd/lifestyle/food-drinks/whisky-now-choice-drink-for-toasting--4204122

Am a fan of cocktails lakini sio soda, in movies whiskey is taken neat maybe ice cubes sijui tulitia wapi hii story ya kuweka coke.

To make it milder but still retain the “drunk” in it with a sweeter taste. It’s harmful though.

Nakunywa whisky yangu venye nataka! Whether namix na Fanta Orange ama keg black you cannot tell me nuttin

Unataka kufunza wanaume vile watakula mali yao

Hizo whisky fake za Kariobangi Light Industry ndio mnasema ni exquisite ati hazifai kuwa mixed na soda?

Chakula cha @Sokwe mtu
IMG_20230420_000100.jpg

Wewe siukunywe whisky yako na straw basi.

wewe weka yako kwa wine glass.

Namumunya Glenffidich na Quencher, U mad? Come at me bro!

Wanatusumbua na umeffi. Mimi na chase na blue ice

Ushamba hiyo…

Sidhani kuna whiskey nishaikunywa chased. The few times nimetaste it’s horrible.
Also Scottish whiskey>>>Irish whiskey

Upiiiiii majingaaaa

Kwa nini watu wanongea ni kama kuna mtu amewakataza kukunywa whisky yao dry? Juzi kuna.mwingine alisema eti Kenyan food is bland as if kuna mtu alikuwa amemkataza asiweke royco na pilipili kwa yake.

Whiskey mnachase kwa nini

iko na mbio.

Sisi ndio ndio tuko na mbio tunaipeleka Pole pole bila any additives

I take my cognac neat. Same for my teen-aged whisky.

Bonobos are not known for their dining or beverage sophistication.