You Are On Your OWN. Kirima Land Encrouchers Warned

Wameambiwa wanjipange kabla deadline ifike 31st Dec 2023. Hapa kuna watu watarambwa January 2024.

A strong example needs to be made. Kuna msee alisema alinumua shamba hionarea 2013 for 30k… hii Nairobi utanunua shamba wapi for 30gz… early 2000s.
Shamba zalikuwa zinauzwa for 250k to 300k
.
2013 unanunua for 30gz… seriously :expressionless:

2 Likes

Alot of blood has been shed on that land. But kulikuwa na red flags all along. Wacha waitane sasa…

1 Like