YET ANOTHER THEFT AS BIG BROTHER WATCHES:RYOSA

Robbey caught on cctv

waaaaa hadi TV mseh

Ni kurudi kwa nyumba unakosa kwamini ni yako

lakini mbona keja ilikuwa open?

Nmetrim vida… Wali pick lock

Waaaa Noma hio…Ni mtaa gani apo?

Ina kaa ni watu wana mjua poa, why go to that specific house. Hii ni ile story za kueka bash kwako alafu una invite mamraiya.
Advise ni ,once ume notice ume poteza kifungu haki kisha ume replace with a new padlock asap

Multilock is the only solution to padlocks. Na si zile za barabara. Zile za 18k + na kwa key ikona magnet. Hizo apan tambua jua kali
Saidika hapa.
http://www.tenacitylocks.com

Hapo ni kwa Uncle Uwes, na sahii bado ako 680Hotel

Asanda

Stupid fools

Hapo lazima kuwe msee anaishi kwa hiyo plot hufeed hao wezi info. Kazi yake huwa kuobserve patterns za other tenants, time ya kutoka na kurudi. Akishakua sure huwa hupatikani mchana ndio wanafanya hio kazi. Look at how confidently that guy opens the door, like he’s 1oo% sure nobody’s home. I once lived in such a place na ilibidi nihame juu ya wizi. Wiki haiishi bila nyumba kuvunjwa, na they always preferred stealing tv, mtungi ya gas, pasi na other small but valuable stuff like laptops, phones etc.
Baadaye naambiwa kumbe it was one of the tenants who used to collude with the thieves. Wakishaiba wanaficha vitu kwake alafu watazipick baadaye. Na uyo jamaa ndio alikua anacomplain kabisa about insecurity whenever kumeibwa.

Waa! On the brighter side , at least hakua kwa nyumba. Its traumatic to be robbed while you sit/ lay there helpless

shinny eyes wamekonda maze. hiyo tv ata inakaa mzito kuwashinda

@snapdragon toa mpango leo boss

Kupiga koto ni ufala ya ma-amateur. Izo vitu mmeiba, mkiuza ata io pesa haimalizi wiki na mkishikwa mkiiba ni mob ama ndengu.

Car hire- (-3000)

Mbulu - 20k

Izo electronics zingine ziko kwa bag zikienda sana - 20k

Total kitu 35k na mko mtu kama 3. Mkiiba sana mtaenda mara kama tatu bila kushikwa, io ingine aruba zenu zitakua zimefika, mnapigwa mob plus ukikosa kunyuria inda miaka tatu. Io yote juu ya jaba na hare ya wikendi. Nimeona hii script mara mob sana lakini vijana ni wale wale akuna mtu anataka kula jasho yake ama kucheza smart.

All I can say is that I wish all shops, malls, cars and other rob-able places had CCTV of that quality. Usually, what we see are grainy, useless images where identifying the culprits is totally impossible. Stupid locking system!!

By look of things huyo msee Ameibiwa haikuwa Mara ya first… CCTV imewekwa kwa mlango yake… Why? Huyo birrionaire anafaa hama hio mtaa. Ni neibaz wamemsetti…why live with peasants…lazima wataskia uwivu wakiona unaleta TV ya nguvu kama hio na wao wako na Great wall

Tumesema mara mob you upload videos iPhone compliant

https://www.youtube.com/watch?v=ZCPNwMVvhJQ

Picha ndio hiyo. Likes tafadhali