Yes rasta.

Bunny wailer mix.

https://www.youtube.com/watch?v=xvTbMl_58bA

I’ll leave this right here …

https://www.youtube.com/watch?v=e1y66WI8-t8

Hii mix ni sawa the only downside ni hio scratches na firimbi mingi. Sirens are unnecessary kwa mix safi ka hii


https://www.youtube.com/watch?v=vEJHcVMAe00

Inalingana kama unaskiza ukiwa umetulia, ama uko jaba ama uko ngwai ama uko jaba+pombe ama uko jaba+ngwai… Na moods zako pia

MHSRIP

For me napenda kuskiza reggae imetulia especially kama ni ma roots. Ragga na zile ufala zakina Vybez cartel ata zikijazwa matarumbeta sina noma ju hazina conscious vibes.