Yani senators walikua serious kumaliza Deorro

It’s just the kipii talking to itself… Hata hit button issues kama pastor Ezekiel hakuna comments :D:D

:D:D:D:D:D:D:D

Alicheza na deep state

Apatie rexxumbwa kazi ya turdmean atusafishe mesho

Ata anarudisha KCR na kosokoso zingine walilaghai watu nazo wakiwa na @Meria Mata

Hii kijiji tunaipendea kitu moja; Freedom of speech na hakunanga makasiriko.

@Okiya alimuonya aache ufala ya kufukuza watu, maringo haingemruhusu

Hii kijiji nilijua twas bound to die , wakati walinipea ban ya hadi 2026 and that was yr 2020. Who does that

Nothing kills a forum quicker than a censorious admin with an itch to ban.

@Electronics4u, @administrator, take lessons.

What makes this place interesting is not the website layout, or graphics. It’s the members. It’s our ability to freely discuss whatever we want.

But when some silly admin (like @Electronics4u) declares some topics “beyond discussion” & then proceeds to ban anyone who doesn’t kowtow to his nonsense, the end of that forum draws near with each subsequent ban.

Without the contributions of interesting personages (among whom I number myself) all you’d have is a vacant website. What draws commenters and readers alike is the delight they derive from our posts.

:D:D:D:D:D

Okiya alikua ameanza kuingia kwa homosexual tukafukuza yeye hapa

I had three handles there but they were sent to Siberia in quick succession. But I admit that @Meria Mata was one of those inciting that to happen

Nilifukuzwa mpaka 2050

1 Like

Ashike hii moyo utulie

Wazee uko senate wako emoshono sana…any slight tackle unatupwa Siberia forever.

Those stupid old men following that boy. Hehehehe

@FieldMarshal CouchP na @Nattydread walikuwa wamejiskia sana kwa hio kijiji . ukiita mtu mafwi innocently wana incite admin unarushwa siberia .

i still dont believe Uncle Deorro is the mtiaji admin there

Uncle wewe hulala saa ngapi?

:D:D:D:D:D niliapply membership nikabaniwa before nikue approved , waliona phamarcy wakaona ntadisturb their peace , @Meria Mata akanishow eti nikuje na handle ingine .

Na huko chimpout Kunaenda aje?