Yani Mtu Anaeza Uliwa Zikimwangalia

Hizi jamaa hazikuwagi zikijua kazi yao vizuri

[MEDIA=facebook]id=1671916169873086;type=video;user=100063903902200[/MEDIA]

Jamaa ako na pressure sana he needs a break

The fool is their colleague " Omosh nimalize nikutambue" is a clear statement. Angekuwa civilian angekipata.

Cop vs cop violence.

Pesa ya hongo will never give our greedy good for nothing D- peace.

Hehehe… nichape risasi I am ready!

Hakuna haja ya kuua mtu ju ya malaya

So that bitch lunged at a clearly crazed man wielding a panga? Hehe, kuna watu huwa wamejiamini hii dunia.

Attempted murder…assault with a dangerous weapon…defence of insanity…huyo msee amerukwa kichwa

Na hizo D- zote zote hapo zipostiwe kapedo ama zisimamishwe kazi…bure kabisa…lakini hata Mimi singekaribia huyo msee…he was clearly posing a lot of danger to kila mtu…they have to mimina njugu kadhaa za miguu to disable…they are obliged to do so…ubaya ni stray bullets…Kuna umati

Hii ni video ya kitambo at a police camp. But nasikia hao madem/ bibi za karau hugawa sana.

Hao polisi wamebeba fimbo…siwezi karibua huyo jamaa wa panga

[SIZE=7][COLOR=rgb(209, 72, 65)]D-[/SIZE]