yanga vs simba

yanga(chura- ikimaanisha matako kubwa apa tzii) ilimfunga simba (lion mnyama mkali wa mwitu) jana. simba walinyimwa penalty (Morrison akivutwa shingo,mabega na shupi na Adeyoum Saleh)… penalty iko wapi ref??..

Hata hamna pikcha ya Yule shabiki sugu hulia akipangusa machozi.