Yaani shida imewafikisha hapa...mpaka mna-reverse 150? Hamna huruma na hasora?

Na enyewe huyu fala ata akiingia kwa shop yangu kuna vile sikuwa natamani kumuuzia, coz alikuwa na dent kwa uso nikaona hii ni jangili kama @johntez addi gaza msafi. Akaitisha kwanza gospel songs banaaa :D:D:D:D. Alafu wakati alinitumia kwa mpesa nikaona jina sio ya mkikuyu, nika-relax juu according to Kenyatalk experts, only kikuyus do these things. Kufumba kufumbua, punde si punde, ghafla bin vuu…narudi kutoka hoteli flani napata 3 missed calls from Safaricon. Nikashindwa huyo mbilikimo anatakaje na hasora kama mimi? Kabla nikalishe mattercore nipumzike nikingoja “the itis” iishe, message ikaingia. Reverse complete! Imeniuma kiasi but imebidi nikubali Nairobi ni shamba la mawe.
[ATTACH=full]324532[/ATTACH]

Hata sijaskia vibaya imagine, as you can see from hio text nimemtumia :D:D:D

[ATTACH=full]324534[/ATTACH]
On a totally unrelated note, kutoka leo sitaki kuskia customer analipa na mpesa. Cash ama utembeze kinyambis, washienzi.

Wharrabout till number ?

No please, cash only. Enda withdraw kwa agent uniletee cash. That’s how my favourite electronics outlet at Luthuli operates. I always ask them why they don’t allow direct payment via mpesa, kumbe ni juu ya huu upuzi.

I operate an SME na lipa na mpesa haijawahi niangusha

Weka number yake hapa uone kama hatarudisha.

If 150 was little money as you imply, then your post should not be in existence

My business is still largely cash-based (like 99% of transactions are cash) so I don’t see the point. Unless someone is buying things like flash disks that cost hundreds/thousands, ni transactions za 50 bob/soo/rwabe at most. No customer has ever requested a reversal after using your till?

Kama hutaki Till Number, transfer pesa Mshwari ukilipwa kuavoid hii ujinga

Wako but till is irreversible , jamaa akipigia sat wanamshow abonge na the owner hehe

Hakuna haja, huyo vile nilimuona, it’s a matter of time before mob justice imshugulikie. He had a fresh stitch on his scalp. Hapo ni either wezi walimkata ama yeye ndio alikuwa mwizi akakatwa. My bet is on the latter.

Sawa mkubwa.:slight_smile:

:smiley: Sijanunua mziki in so long mpaka vile nimeona ngoma nimedhani ni rubbers za Bata

You’re probably one of those people who always maintain stone face, uko serious sana na maisha kijana/mzee. People who are too serious with life also tend to be stupid IMHO.

Siku hizi naskia ikiitwa debe but mimi nimebaki hapo kwa ngoma. That’s the most sheng I can spare :D:D

Inakaa huyo morio hu survive namna hiyo huku Ilovi…lazima ni kamtindo amezoea

Jinga kabisa anataka kuangusha cyber…

Mimi hushangaa ata kuna watu hufanya hivyo kwa hoteli.
Watu kama hao huwa hawaendi mbali ki-maisha juu akili yao ni ndogo sana.

Bana, hio machungu iko kwa hio text ni plenty :D:D:D

Na ghaseer iliniambia mamake amekuja kutembea na anaboeka na hizi channel za GoTV, so nimuekee gospel kadhaa zitamchangamsha :D:D:D. I hope he was lying coz kama ni ukweli nahurumia huyo mama.

Banaaa, at least nimeelewa vile uli-feel wakati ulikuwa una-cover expenses za kunguru bila hata kuingiza tip :D:D:D Ukipoteza your hard-earned money kimchezo lazima ikuume.