Yaani mpaka jirani ya Kairo anachukua video to prove his Porsche was repossseed. Achaneni na hii kijana. Ni kama Wavinya ni wale madame wa kisirani ukikula

https://x.com/Asamoh_/status/1864384023704817709

2 Likes

anaishi estate gani hiyo?? looks like a nice apartment

1 Like

Ngoja @gaines akuje kuhate on the apartment

9 Likes

Kairo is going through all what men dumb enough to pedastalize women and parade their lifestyle online to impress fellow simps go through. The good thing is that he’s still young and can learn a thing or two from this. U better lose your shit at 28 than 48.

13 Likes

Why is this on sex and relationship…unataka tungurumishe hizo nduthi?

7 Likes

Unjinga uko nayo ni kipawa category gani hii unaweka vitu za Ufala?

The moment he started flaunting his women, shida ilianza hapo.

Watu wakuwe kama Churchill Ndambuki. Huyo ninja huficha sex life yake kama ya paka.

What people fail to understand is that flaunting your rich life style saa ile Kenya imejaa peasants you attract something called negative energy.

That is, the negative energy from millions of people who feel like you rubbing it to their faces that unaishi poa while wanateseka so they’ll just be wishing for your downfall.

Ni kama uchukue video ukiwa kwako ushago and post venye uko na mbuzi wengi. Then usiku, @Gaza na vijana wake wazikujie.

There are ultra rich people in Kenya yet ata social media wako uko using pseudos. Only flaunt your lifestyle kama unaishi Hamptons ama Dubai where everyone is probably richer than you.

16 Likes

Kwani unataka kumpatia mkia?

Shida si kuflaunt wealth. Kairo alikuwa one of the people who worked to derail the June protests then akatusi people going out for protests.Before that people did not have issues with him. Kutoka hapo alikuwa target and people are celebrating hizi masaibu zake.

5 Likes

Kairo is under attack from everyone, esp his fellow importers who are taking advantage of his predicaments to finish him behind the scenes. He’s about to learn some very harsh lesson in business. Huyo kijana akitoboa hizi mashida ntamvulia kofia.

3 Likes

Basi naskia alichotewa 15 m.

1 Like

Exactly. Hio ndio iliharibu CV yake.

Kenyans are kind. They’d have come through for him.

2 Likes

That can be any middle income estate

haha, hawa ndio wamuiita ‘billioaire’'.

1 Like

hiyo ndio kazi yako?

1 Like

Billionaire haishii apartment. Wanaishii Karen, Runda, Nyari na Muthaiga.

People should learn to live within the means & stop the posh showoffs on social media…

1 Like