Yaani Inspector Mwala bado ina-exist? Kwani naishi dunia ipi?

I always assumed this “show” ended its run kitu 5 years ago. Personally the last time nilijipata kwa living room hii kipindi ikiwa on ni around 2012. Heneway, nimeona kwa chochio media ati George Kinoti alikuwa guest star ngashangaa sana.

https://www.youtube.com/watch?v=MDlWmQN-lAQ

Hii kipindi inafurahisa wanduli saana… haiwes tolewa kwa dibaji ya vipindi citizen.

Inspector mwala ako around, leo alikua kwa yule mzungu anapanda ngano hapo nyuma ya junction ya machakos

Kinoti definitely sounds way different than one would expect. Sijui ni acting ama nini, but he doesnt sound as “Intelligent” as is expected for what he does.

Hehe the last time I watched local content ni 2015… hata news zingine nategemea kijiji:D:D

He has never been intelligent,

Around 1km from junction towards nbi, unaingilia left hand pale SHELL petrol station. Sitaki kujitambulisha but napamanya sana.
Naona tukipatana soon bila kujuana.

Vitu hubamba watu wa vitongoji duni:D

Wacha watu watoe stress

Inspector who?
Hio haishiki Kwetu #Karen.

Inspector who?
Hio haishiki Kwetu #Karen.

Sijui kwa nini wasungu hu pronounce hio area yetu keren.

Coz that’s how it’s pronounced. Just like Eva is not pronounced Evaa… it’s pronounced EVE.

oya Rustler, EVE is pronounced as /iːv/ EVA as [EE] + [VUH] those are two derivatives of a common name,but you’re right kiasi