Yaani huyu ni baba ya mtu?

Ona saa:D:D:D

haha

Iyo ndo staple yao eeh?? No womder akili huwa maji

Na hii forum iko slow leo jioni?

Mzae anapiga hiyo pace kwa shamba haijachimbwa vizuri? :smiley: :smiley: :smiley:

Siku moja huyu atavunjika mguu pwana