Yaani huku ndio mlihamia

Meria mata, Uwesmake, Luther12… you people quietly moved here mkaniwacha kwa giza. Very bad people.

Welcome alafu --------------------------keti pale

1 Like

Since mama Shaito was sent to the dungeon I will say it on her behalf some ppl are generally slow!!!

5 Likes

Leta majina yako kamili pale Klost …alafu ndio mtihani iingie

I can’t say

Basi, u are definitely not one of us !!!

1 Like

Then go back to wherever you came from

Klost iko?

Niaje @Aviator2000

1 Like

That wasn’t the reply to the second one

kama ni @Atlantic ule mmoja, karibu. lakini ile ushamba uwache hapo kwa doormat ukipangusa mguu.

5 Likes

Hapa hatutambui new villager, hata ka alikua veteran Klist, laza kende kwanza ndio badaye uitwe.

Nyambia kiti ukooooooo~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~>

Iko extinct bro. Karibu lakini, we are many here.[ATTACH=full]53209[/ATTACH]

5 Likes

Hiyo Iko wapi?

Hiyo nimewacha mkubwa

1 Like

Atlantic yule mmoja tu. Na sijaambia mtu anitambue hapa… asi!

Poa sana my fellow airman

Sawa. Kende chini.

Hii kijiji ilijengwa kitambo kwani ulikuwa kamiti?

1 Like

sawa. zile hekaya zikuje msee. angalia hapo chini category ya lexicon na ma hekaya ujiunge katika kupeana story za uongo na ukweli.