Xuma Saidia

Kuuliza si ujinga…Andika kwa wingi,…NYANI
HAONI KUNDULE???

2 Likes

Nyani hawaoni kundule …

1 Like

Nyani hazioni kunduzo :D:D:D

manyani hawaoni mikunduzo(Zao)

Huu mkundu mwekundu husaidia nini ? :D:D

https://i.ytimg.com/vi/DPWd7LI3qQk/hqdefault.jpg

3 Likes

I’m starting to think women with big asses wakitoa jeans hukaa hivi

ma-moderator hawaoni makundule

1 Like

maorangutans hawaoni makundule

1 Like

Cc @uwesmake for advice

MaOLDMONKeys hawaoni mkarara

1 Like

Nyani hazioni kundule

Hehehe
Haki wewe ni chizi. Since tunaongererea wingi, basi ni Mikarara.

1 Like

It signifies to the male that the female is on heat.