@xuma
1- Tap na Kiswahili yaitwaaje
[ATTACH=full]16995[/ATTACH]
2- Wakelekao wakeleke. Hebu fafanua
3- Utajiju, hii humaanisha nini?
na kwakumalizia naomba unieleze pale naweza pata lile shairi la Lolani Kalu “Mswahili”
Ni hayo tu kwa sasa
- Mfereji
- Sijui
- Sijui
umekosa ndugu yangu, hio si mfereji
-
Mfereji
-
Yani wale ambao wanasikia maudhi shida zao
-
Sort yourself
haters gonna hate.
maitho ma chiura matigiragia ng’ombe inyue.
those negative mofos who have nothing good to see in everything
Tap sio mfereji, Gojeeni @xuma aje
SHEMALE
UTAJIJU - utalijua jiji…life lessons/experience
mfereji ni pipe?
- Bomba
- Jambo lazima lisemwe upende usipende
- Usijifanye mjuaji, kuna mengi wafaa uyajue.
thanks for trying but you are wrong
Tapu
fail
hehehehe
Hiyo picha yako yanikoroga boss
Koki
Meria unachanganya wana kijiji.
Angalia hapa chini niliyo yanakiri [ATTACH=full]17024[/ATTACH]
Ata hii nakataa. Bado namsubili bingwa wa lugha,
@Meria Mata Samahani nalikuwa nimeshikamana mwahali mwa kazi. hata hivyo heri kuchelewa kuliko kukosa kufika.
kama vile @Mathaais amasema pale juu, hatuna jina mwafaka la ‘tap’ isipokuwa inaitwa ‘Bomba’. Bomba kwa dhana ya kuwa iko na kifaa cha kupima au kuzuia matumizi au umwagikaji wa maji.
Bomba pia vilivile humaanisha mfereji yaani ‘pipe’ ile kubwa.
2.Kukereka ni ile hali ya kutaabika kimawazo kuhusu jambo moja au lingine. Kwa hivyo ‘Wakerekao wakereke’ hutumiwa kuwasuta watu ambao wana tabia ya kutaka kuyajua mambo yasiyo wahusu na kusikia wivu au uchungu kana kwamba wao ndio wanaumwa!
3.Utajiju pia hutumiwa kumsuta mtu kimadharau. “Utajiju” si Kiswahili sanifu bali ni lahaja kutoka sehemu za Tanga. Jina hili ni ufupi wa ‘Utajijulia’. Limepewa ufanisi sana na wana Taarab. Natumai ushasikia jina lingine kama hilo ‘Utalijua jiji’ yaani kama unajifanya sana mjuaji jua kuwa jiji ni kubwa!
Natumai umesaidika.
4.LOLANI KALU ameandika diwani kadhaaza mashairi. Nitakutafutia shairi lake ‘Mswahili wangu’ liko kwenye diwani ipi halafu nitakujulisha.
Ahsante mwalim
Karibu.