xiaomi smartphones

I’m looking for anyone/place selling redmi devices kwa bei ya wakenya. Most preferably redmi note 5 ama redmi 5 plus… Hizo ndio naziona zinafika kwa mfuko yangu. Saidia maskini.

buy note 4 pale olx. baba yao

Bei ya wakenya ni how much?

Bei ya wakenya ni ipi?
Lakini nunua tuu tutapatana ukilishwa copper na kina @Kirwa

Buy from Xiaomi themselves. They are cheaper than akina Avechi and olx sellers

Bei ya mwananchi ni gani

Sasa comments mingi hazisaidii NV. Ameuliza atanunua WAPI. Want to get one for my niece as well. Hao Xiaomi wako wapi?

Ndio hio.
http://www.mi-store.co.ke/

Sanda sana shaolin.Meffi

@Matako ya Punda wewe.

Note 4 si imepitwa na wakati

Below 25k for the 64 gb rom & 4 gb ram variant

si nimemuambia from Xiaomi themselves. ama you are too lazy to google the official ciaomi shop in kenya? here it is lazy douche XIAOMI KE - Buy XIAOMI KE Products Online | Jumia Kenya

toa kwa Xiaomi shop hapa XIAOMI KE - Buy XIAOMI KE Products Online | Jumia Kenya . Mi A2 si mbaya

Asanti sana. Much appreciated

Official Xiaomi shop ni hii hapa XIAOMI KE - Buy XIAOMI KE Products Online | Jumia Kenya hiyo ingine ni bonoko
if you want proof confirm from their twitter account https://twitter.com/Xiaomi_Kenya

Prices are more costly than in Jumia and Wariah wa Luthuli

this is their official shop XIAOMI KE - Buy XIAOMI KE Products Online | Jumia Kenya . Utawapata Bihi Towers @Axelrod amewahi watembelea and can give you more info

Got my note 5 from the below store

Smartphones - Shop & Buy Latest Smartphones Online | Jumia Kenya

Jumia.