Xiaomi redmi note 12

Wadau hii ssimu iko aje? My Motorola crashed and I have no other option but to buy a phone. Nataka kujaribu but sielewi na specifications.
Ram ya 6gb internal 128gb sijui fresh rates (za kusafisha macho?) 120ghz .
Is it worth it ? @Jimit

www.gsmarena.com

Check specs za vivo Y35 pia.

Samsung Note 10 Pro iko sawa kabisa

@Uzo Zane Kamau Waitiri alinunua oppo reno 8t inakupelakaje

Used xiaomi previously and the phone has a few bugs.You will notice the phone hanging for no reason.Refusing to connect to wifi,losing network etc

Hii sini 50k na screen ikivunjika replacement ni 25k?

Budaa Vivo ni simu kali…nilibaiya wife majuu venye nilimpelekea nikaitambua kwanza ukipata 5g we ndiye kusema…simu inavutanga Wi-Fi mpaka za jirani

Hapa unadeal na birrionares

Hehe iyo ni swara, iPhone parts zake hazikuangi bei nusu ya simu yenyewe

Mtu afanye recommendations ya budget 5g phone

Reno t8 37k

Samsung M23. Kes. 27,000/-

Oppo na Tekno sini same vibes

Which Xiaomi exactly?

Kwa ranking ya chinese phones oppo wako sawa . Techno wachia wasenge poor souls Malaya @uwesmake

What do you want your phone for?
Mediatek hoiyeee

12C has low voice… You have to put it on full volume when making a call. The battery is 5000mah but it won’t last you more than 24 hours if you’re a heavy phone user.

Good phone. With great display- Amoled and Gorilla glass. Problem is speed it sometimes freezes. It also starts loses power fast after the first 3 months I guess it’s because of the fast charger.
Overall it’s a great value for the price. But I don’t think it will last more than 1.5 years.

First 3 months? Kwani ulinunua hii simu lini yet imeanza kuingia Kenya from last week.