Xiaomi Redmi 7

Exactly my point. In 2019 dont settle for less. Kwanza naona Redmi Note 7 pale Mi Store Kenya iko very cheap. Cheaper than Avechi.

3gb/32gb variant - 20k
4gb/64gb variant - 22k
4gb/128gb variant - 24k

Deorro anasema ati iyo store ni fake

Na si yeye ndo alituma link huku…

Leta screenshot, kwanza anaweka mpaka zile green emojis