Xiaomi Redmi 5

Wepesi…niichukue ama niiwache…NAyO nayo…any other options?

Kama unanunulia a loved one. But if it’s for your personal use, angalia vizuri hapo hapo umepata hii. Utapata nyingine inaitwa Redmi 5 plus. The difference is huge upande wa specs and small upande wa bei. Go for the Redmi 5 plus.

Chenge ngori…redmi 5 plus goes for 21k

haina LTE band 20 meaning huezi tumia Airtel na Telkom 4G kwa hii phone

na utakuwa 3G most of the time ukiwa Saf

Lol

Ata mimi naichukua Redmi 5 plus this month, all reviews are positive and its among the top budget phones this year.
[MEDIA=amazon]B079YJ5BKX[/MEDIA]

I had this phone and it was awesome. Sana sana juu ilikuwa na TV remote sensor for all brands. I could switch of the TV in a bar just when arsenal is about to score!

:D:D

jumia ni 19k 32gb one

Sasa unasema nini?

2GB ram tho.
Just go for the 5 plus ama kama you’re for performance get the remi Note 5.

Buda huogopi kupigwa na chupa:D:D:D

Hakuna mtu anaweza jua

Kwani si ni IR bluster so lazima apointishe lazima kuna mtu atanotice b4 hata arudishe simu normal position unless yeye ndio ako nyuma kabisaa:D

Halafu ikapotea ama?

Halafu ikapotea ama?

Cracked the screen nikapeana. I don’t do repairs on phones but pass it to relas.

:D:Dteam birrioneas