Wut wut...its going down tonight

Tupatane pale Westy ama XSMillionaires…leo ni mambo ya uptown.

I will also be going live on IG kitu 11 wakati kameshika mbaya. Its gonna be lit.

Btw…is it bad kukula chipo na chapo pamoja?

TP ziko on offer ni za silk ama?

Offer za TP ziliisha mjamaa. Uko wapi leo?

nalewa mahali fulani pombe ya watu wa gava.

Hehe i can guess one or two places like that. Tusker ceder ilikuja kuokolea bana

hehe… hiyo pombe nimekunywa mara kadhaa lakini niliacha. si mbaya ata kama watu wanasema ni ya wamama.

Skip XS! Fucking boring! Siku hizi ni ya masponsor

Chapo na chipo iko on point, RWNEBP

When you go drinking ,kula nyama.achana na mashakura

Handle I follow

Si naweza slice hao masponser?

Azante :slight_smile:

Hio ilikuwa before kunywa…lakini asante pia

Sasa mrembo…usiniambie uko indoors…ata kama ni 16degrees

Niko indoors ndani ya blanketi. Lakini kama ungenialika. . . . .

Hehe naona kama nitakuja nikujoin kwa hio blanket

:slight_smile: in the mean time wekelea handle nisafiche macho.

Zii. Btw kama unaweza pata mushroom soup ya kuteremsha nayo utakuwa set

Hehe eeh…sasa mushroom nitatoa wapi bana…mbona hutuleteangi picha za mall huko kwa abdul…tunaskianga ni za gold

Upuuus

Umetoka thika road na bike hadi westi?