Wundanyi

Meria is in wundanyi tonight,a place called Weruga, my first time here. Sema milima. Nikaa ile ya tour de france only difference ni barabara ni hekaya. Baridi nikaa ya nanyuki buts isokay.
Nipeni ideas wale wanajua huku.
PS: stima imeenda

3 Likes

ongea poa na @mabenda4

What the hell

Hakuna pichas?

@mabenda4 help a bro.
Hii baridi msa hakuna.
naumia

1 Like

[ATTACH=full]22434[/ATTACH]

5 Likes

Concentrate kwa sura ndio tujue kama ni mrembo

Homeground. I love that climate. Keep warm bro

Warembo watakumalisa omwami

2 Likes

Hehehe. Ningojee naja Voi kesho. Na hakuna kubeba warembo wetu bro.

Biashara ipi kule kaka?

Kwawe bonya kii kwa wadawida…madu rako…

@Meria Mata - hiyo barabara ya kwenda huko inataka dereva amejiamini