Wueh..watu wa online writing wamefikiwa

@nyundo_wa_komeo Ile kazi yako ya ku earn dollars…kwisha. Nabii ashachanuliwa. Hajaamini, how comes hakujua.

https://twitter.com/Kenyans/status/1747510058970239124?t=_1GhpBvRsNRInAtGWXeUQg&s=19

:green_emoji:

1 Like

huyo student ni umbwaa

1 Like

Remotask if your account is Kenyan, hakuna kitu uta accumulate!!

2 Likes

Hii ni porojo ya UDA brigade just like ile graduation bandia wali conduct. These guys dont know when to stop. Jambasi needs to get to work awache hizi shide shows za upuzi.

1 Like