Wueh, Prado imekwisha b4 Xmas

.

no comment.

Ghaseeer zinaedesha magari nikama wako na kisirani , Leo karibu nilimwe kwa road thanks to masheito nimeponea .
Na pia watu wako na kisirani Sana , sijui ni kusota au nini . Let’s thank god for our millions and pombe stock

Hao ni vichwa mbili ngumu…mmoja ana overtake wrongly…huyo mwingine anasema hatakanyanga nje ama a slow down coz ako on the correct lane. Kiujinga tu wanalimana kichwa kwa kichwa

4 Likes

Hatari Sana

Safi sana. Darwin theory.

Most Prado drivers are speed bullies…one miscalculation, and they’re up roasting with the devil. At night, they will be either tailgating you with flashes ama full-lighting you on the incoming sight. Trailers hukuwa dawa yao

4 Likes