This evening across several stations.
Kenyans are Tayad!
Really
I won’t waste my time , all he will do is blame uhuru , coffers were empty nyef nyef.
He said he had a plan iko wapi? 100days Sasa tunanunua unga na instalments . Unalipa Soo Leo Soo ingine kesho. Bure kabisa.
Man to lie to whole nation in a few minutes !
Shida ya Sugoi Thief huwa nini? Si campaigns ziliisha?
If everyone except @Titty Twister complains about the thug, who is this that voted him?
Huyu jamaa hakuna kitu anasema.
Yake ni Ile ngeli ya Tu- Ta
The art of saying a lot without meaning anything.
I know this ain’t a laughing matter but damn. :D:D:D:D:D
They were elected to WORK not TALK hot air.
Amesema mimi kama kiongozi wa nchi like 4 times in a space of 15 minutes.
Atatoa plans ingine
Always talking of plans
Okay he’s very passionate. I like it.
Ruto should rule Kenya for 20 years… He has long term plans for all Kenyans.
wait we thought you were taken to river yala na ile disbanded special forces ya uhuru after your encounter with the shosholite
Kuna watu hii nchi, some educated up to PhD level, who are honestly waiting with bated breathe for Jambas kutoa rabbit kwa kofia. Sijui tuwaambie ama tunyamaze tuu.
Hot air.
Ndio nashangaa niaje hii ghaseer @Lerionka inachangia mjadala ni kama business as usual.
Something with this guy.