Woyooooo JF imerudiiiii

Senks bae. Ushajua bei eeh

Tunaenda wrote kununua

Lini hiyo mchumba nianze kusherehekea

Tutaangalia ratiba ikoje

Mbona kama sielewi sielewi!

Duh watu wamewahi PM ,asee

Hahaha ,Mkuu nilijua pekee yangu ndio sielewi ,we Hapo huko kwa wasap zao?

JF naona kwangu pia imekubali

Ewaaaa. Na mie 41 rafiki. Hahahaaaaa

Afadhali lakini irudi sababu tuliimiss jf yenyewe na yaliyomo mule.

Bila kuwasahau Mods wetu hasa wale wafuta comments za watu na wanaotoa ban. Hahahaaaa.

Read only

nyumbani ni nyumbani…ila nasikia tutatumia majina halisi kwa mujibu wa sheria

Senior Experts…duh!!!

Daah
Irudi mazima jamani ebu ngoja nikajibu pm za watu

Ndio ndio bae…bei si
Jogoo mmoja mkubwa
Unit 84 za luku
Heinken 4

Hahahaha

Yaan nimekutana na pm kibao ndio naendelea kujibu

PM hakunaga uchochezi ndio maana tunaweza kuchati

[quote=“joseverest, post:9, topic:164948”]

Enjoyyyyy:cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:
[/QUOTE
njoo pm bby shem[/QUOTE]

Duuh. Ngumu kumeza hiyo Kaka.