Personally, I wouldn’t because hii ni kikombe ya ng’ombe pale ocha.
So would you spend your hard earned 120 thaozand for it?
Personally, I wouldn’t because hii ni kikombe ya ng’ombe pale ocha.
So would you spend your hard earned 120 thaozand for it?
Looks good but 120k for a souped up drum is too much. Heri ingekuwa stump ya hardwood or a rare object, drum ni too common
750 mwisho…
And they probably used <10K to come up with the ‘table’
Kwanza ile rangi imepakwa ni kama iko na mercury.
“Corinthians” would gladly buy. Hii nikama “darama” kwao.
Hao ni akina nani sasa?
wtf… 120k drum ya maji… shiieet. hata 5k siezi toa
… hio ni criminal lol
Wakor
initho
Drum ni 1k alafu unanua rangi ya mia saba na 1200 ya labour.
Saa ii nikingia gikomba na 6k 30mins later natoka na coffee table mbili kama izo.
I get it now… darama
Are they as non carcinogenic as the Busia’s Land-rovers special wheelbarrows.
[ATTACH=full]192433[/ATTACH]
[ATTACH=full]192429[/ATTACH]
[ATTACH=full]192431[/ATTACH][ATTACH=full]192432[/ATTACH]
Very creative! Shida ni moja tu, ukiamua kuwekelea dem nyundo kwa hiyo sofa ya mabati, jirani wanafikiria unapika ugali na mwiko ya chuma
Hii inaeza kuwa ya nani hapa?
[ATTACH=full]192434[/ATTACH][ATTACH=full]192434[/ATTACH]
:D:Dhiyo si ni drum saw na paint on a saturday… awa ni wezi
If they said nickel plated italian coffee table or imported parisian art, many would have bought it
kilo moja ya nickel ni 10k hapo ukifanya ukarabati nayo unaeza funika gari 4 na hio stuff,hako ka meza ni ile drum ya oil im sure ,300 mwisho,kata mara mbili,pigilia hadi ikue kubwa then tumia nickel kucover mitungi 25 then uza vile unajiskia.Hawa wanalazimisha kitunguu
drum utapata na less than 2000