World's most expensive phone

From sirinlabs.com this is the most expensive phone at $20k. So nv muache kuuliza which is the “best” phone. inalingana unachezea wapi .

https://www.youtube.com/watch?v=wCfClc8ssOU

[ATTACH=full]109290[/ATTACH] [ATTACH=full]109291[/ATTACH]

1 Like

just 2.1 mirrion

1 Like

Ungetuwekea features. Tuone kama mediachieth iko mahali

2.1m for ang’owa??

1 Like

Kwani inakuja na bibi, nyumba na gari

encryption and security iko toppest.na bezel is pure gold. it can survive any weather condition and even take a bullet for u

Thought it had crazy features. Like a graphics card or something.

Kwanza unapatanga zingine ni android 4.4 upgradeable to lollipop mwisho…na ka 1gb ram

Hii kwanza inakaa kulipuka

Hii inakaa magazine ya AK47…
Lanes watu wangu…

Phones hukua na Graphics card btw… Akina Adreno 504, Hiyo GPU iko kwa SOC inajiita 835 iko actually ligi na older integrated intel GPU’s, and very old Nvidia and Amd GPU’S.

I hope battery life ni 100 years and recharging takes one hour max. Only such a phone can cost that much.

Alafu shiny eye anyakue ijipate Eastleigh for 3000 only

Utaniuzia ngapi…you know what I mean…

1 Like

[ATTACH=full]109343[/ATTACH] [ATTACH=full]109344[/ATTACH] [ATTACH=full]109345[/ATTACH] [ATTACH=full]109346[/ATTACH] [ATTACH=full]109347[/ATTACH]

hapa si utaua mtu @snapdragon ?

1 Like

Sesrch for Lamborghini phones. Thank me later.

Siwezi lipia simu 200k na after 2 years there would be no updates

Ngai! Kwani ni shamba. Wacha niishi na nokia slide yangu.