World's 4th Largest Meteorite is right here in East Africa. Kimondo cha Mbozi

[SIZE=5][FONT=book antiqua]Kimondo cha Mbozi[/FONT][FONT=book antiqua]

https://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/1/11/Kimondombozi.jpg/200px-Kimondombozi.jpg
Kimondo cha Mbozi

Anwani ya kijiografia: https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/55/WMA_button2b.png/17px-WMA_button2b.png9°06′28″S 33°02′14″E9.10778°S 33.03722°E / -9.10778; 33.03722

Kimondo cha Mbozi[1] ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa tkriban tani 16, kilianguka katika kilima cha Mlenje, wilayani Mbozi katika mkoa wa Mbeya, Tanzania.

Kipo kati ya vimondo vizito 10 vinavyojulikana duniani. Kina urefu wa mita 3.3, upana wa mita 1.63 na kimo cha mita 1.22.

Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana ulimwenguni kwa kuwa hiki ni hasa cha chuma. Chuma ni 90.45%, nikeli 8,69%, sulfuri 0,01% na fosfori 0,11% ya masi yake. Ndani yake vipande vidogo vya silikati vinapatikana.[2]

Wenyeji wa eneo walijua kimondo hiki tangu muda mrefu; kilielezwa kisayansi mara ya kwanza mwaka 1930 na wakati ule hapakuwa na dalili za kasoko; kwa hiyo inawezekana ya kwamba ama kilifika kwenye uso wa Dunia kwa pembe butusana na kuvingirika hadi kukaa au muda wa kugonga uso wa dunia ni mrefi sana hadi dalili zote za kasoko alilia zilipotea tayari kutokana na mmomonyoko.[/FONT][/SIZE]

[SIZE=5][FONT=book antiqua]Source: Wikipedia. [/FONT][/SIZE]

[SIZE=5][FONT=book antiqua] https://en.wikipedia.org/wiki/Mbozi_meteorite [/FONT][/SIZE]

The Caterpillar Mountains [1] is a forest that has fallen from the sky near the city of Vwawa. Approximately 16 tonnes, fell on Mlenje hill, Mbozi district in Mbeya province, Tanzania.

It is among the top 10 of the world’s most famous beaches. Detailed length of 3.3 meters, 1.63 m wide wide and 1.22 m.

It has a unique genetic difference between the other worlds that are found in the world because this is mainly metal. Metal is 90.45%, 8,69%, 0.11% sulfur and 0,11% phosphorus of its molecular weight. Inside it small pieces of silicone are available. [2]

Local villagers knew this river for a long time; was first scientifically spoken in 1930 and there were no cats at that time; so it is possible that either it came to the Earth’s face with a little bark and rolled up to stay or the time to hit the face of the earth is so sharp that all the cries of the crystal cry were lost already due to erosion.