Today is a bad day, ran into some massive engineering issues that we are forced to relook design after promising delivery on time, haven`t allowed anyone to leave until we resolve this. Have slept for just about three hours in the last two days, how was your day villagers?
Meru ni sidaaaa…enda hapo makutano utafute simba wells ongea na hao waiters wakumalizie hiyo stress
I`m back in Nairobi
Basi enda hapo keekorok road nairobi kuna stipper joints mob hapo au uteremke river-road huko Tahiti…Tahiti tafuta crystalbella akusort.
Bavon, Keekorok road
Watu wa jua kali siku hizi ni maengineer?
wewe tengeneza tumbukiza hapo, nitapitia githaa ingine sna usalimie bwana @machangimansolo sana, hajaonekana kijijikwa muda
nitengenezee jiko
Utapata jamaa alifanya certificate in welding kutoka kariguini technical school, akaanza workshop ya kutengeneza drum za kuchemsha Supu huko sabasaba arafu anakuja hapa kujiita engineer! That’s treason.
Nitakuletea jikokoa uwache kutumia kuni wet zinafanya macho ianze kushine
Wewe huoni najaribu kutengenezea @wakinyonga biashara nyama isiungue kama makaa
:D:D:D:D This is pure hate speech.
Bwana Engineer…nipe kazi.
if u are a failure dont think everybody is like you,unafikiri kila mtu hapa ni wa kenol?
Tulia,umefikisha kazi ya kuuza nyanya wapi?
am planning to buy a lorry to ease my work,just been told mitsubishi is the best sio isuzu,
@sunnymango please keep your shit to yourself, you got no idea what it takes to earn that title legitimately. Am a registered and practicing engineer and you fck face should stick to your tomatoes. “Waiter,give me a beer.” Shit!
Hustle hard…
Im sure if he were a nursery school teacher and kids were giving him a hard time at work he would not mention the nature of work rather he would just say ‘I’ve had a stressful day at work’
Tuwache hii maringo ndogo ndogo.
We are not here to justify anything to anyone about our lives, and my background is not eng I just happen to have some I work with