woria ana claim mimba ni yangu mimi naishi kwa SQ hio mali ilikuwa safi nika slip up, is my singo dayz over 45 yrs old man wondering

Wazee nilimeet huyu woria wa buibui aka inama Nika ingiza deki Nika mwaga tulipimwa fyi ,three weeks later anakuja na pregnancy test positive Nika demand DNA mtoi akizaliwa amekubali without fight msha wai sikia mimba ya wiki tatu ama hii ni plotting ya kula pesa yangu for 8 months ama Nita peleka mbusi wajir

Woria utalea hadi shangazi zake wote. Fanya hivi chukua atlas utafute directions za Embobut (could be NNE of Nairobi) and remember uende unyo unyo on your tip toes not to disturb the sand on the road
.

unacheswo

Thought so but alienda kwa daktari sijuwi damu ilipimwa

Mtu wa hio umri hafai kuwa anauliza maswali kama hizi.

Shit. I just realized I got played

Am not surprised.

Woria = dada ya shenzi @uwesmake . Angalia kitabulisho vizuri . Utapata ni Beatrice Baraza macendecere @uwesmake . Hiyo ruka tu bila wasi wasi

Upiiiiiiiii

Uko sure ni woria na sio wale wa Nubian wa Kibra ama waSwahili wa pale majengo.

Mother nature hangekuwacha tu ivo.

Congratulations baba Abdi, you got played.

:D:D

:D:D:D

Zamani nikiwa keypee nilicheswo hivi. Main alikam na beste yake kwangu. Tukakunywa na baadaye main akalewa chakari. Akaenda bed akaniwacha na beshtee. Mimi nikaona the rd is clear nikamiminia rafiki yake risasi na kurudi kwa main tukalala. After two weeks the friend starts incessant calls ako na ball. Nikaogopa sana ujumbe usifikie serikali. We planned an aboshen with my doc na dame alipo fika huko nikaambiwa mimba ni ya miezi miwili. Akasema ukweli anaavya mimba ya chali yake aliyeingia embobut. Nililipia na kuwek hilo jambo katika kaburi la sahau.

hapana oa alshabab mseee

Body count yako ya mbegu umeua imefika ngapi sahii navy seal …

Kidogo sana ambazo zanihusu

:D:D Embotut is a place of refuge for many

I thought Worias hupeana mkia?

I was also thinking of the same