Women wrong you then want to tell you how to react after they wrong you.

Wagapi wameona hawa watu wako na tabia ya kukukosea kisha ukijam ama ukiwafanyia kitu baya wanakwabia no you should not have done that. Ati ukikosewa hivyo si vyenye unafaa kufanya. Like she is shamelessly telling you akikukosea haufai kurevenge.

Leta hekaya Wacha kugusia juu juu.

Ujinga thread

Kiongoss leta hekaya na all necessary sketches ,pie charts and graphs tukusaidie vile uta counter react .

If you were given a taste of your own medicine,meza!unatema kwa nini:D:D:D

Exactly