Wanawake kupitia shirika la SautiYaWanawake wameandama jijini Mombasa kupinga visa vya ubakaji na dhulma za kijinsia hususan katika eneo la Kibarani ambapo siku kadhaa zilizopita mwanamke mmoja alibakwa na kisha kufungwa kwa reli jambo lilipelekea kukatwa miguu,na waliofanya unyama huo wako huru mtaani!!!
[ATTACH=full]85928[/ATTACH] [ATTACH=full]85929[/ATTACH]
Hauna mbicha ya kusafisha macho…
2 Likes
Hii peleka kwa news and politics
2 Likes
wee NV umepewa kiti kwanza?
Mi ni ule mgeni ukam saa saba ka kumepikwa
Ingekua interesting kama walivua nguo.
3 Likes