Women from Kirinyaga

Some qualities za womenz from Kirinyaga:
[ul]
[li]wamesoma[/li][li]wanajua kutunza boma[/li][li]wanaheshimu Mungu[/li][li]wako na heshima[/li][li]very hardworking[/li][li]wanatii wanaume wao[/li][li]hawachapi wanaume wao (like those from a neighboring county)[/li][li]etc.[/li][/ul]
The lady at the end really makes her case. For the men yet to marry na mnatafuta jiko, it’s now over to you.

https://www.youtube.com/watch?v=tt6vMO5U468

Stereotyping at it’s best…

Hii sio stereotype, this is taken from the horse’s mouth.

Tired of these posts about marriage. If it was such a great thing then there would be no divorce.

Starting with Anne Waiguru

nilikuwa na kamoja but niliingia Karura last December. Hakakuwa na nyege kama wa Nyeri

Marriage is good, only that it’s not a bed of roses. You’ve got to make a lot of compromises otherwise hamtadumu.

Hapo ulipoteza wife material brathe. Chunga sana, wa Nyeri atang’oa transformer bana.

[ul]
[li]wamesoma[/li][li]wanajua kutunza boma[/li][li]wanaheshimu Mungu[/li][li]wako na heshima[/li][li]very hardworking[/li][li]wanatii wanaume wao[/li][li]hawachapi wanaume wao (like those from a neighboring county)[/li][li]hawana nyege[/li][li]si watamu[/li][li]Ni wachafu kwa maneno[/li][/ul]

Hao ulipata ni outliers