And so, the same February curse for Arsenal strikes again.
They have dropped points ahead of North London derby.
If City wins against resurgent Newcastle, they will be only 2 points behind Arsenal.
1 Like
Dudu1
February 19, 2026, 3:11am
3
@Yuletapeli typing then deleting..2 points
2 Likes
They cunt beat team at the bottom of the table
2 Likes
Wacha niji keep busy.. nitafute pesa kama Arsenal Fc players. Mimi naumia na wao ni pesa wanatafuta.
Cc: @Dudu1
1 Like
Arteta and his many experiments. Saka playing 10. Nini huwa mbaya na Arteta lakini…
If its not broken don’t fix it.
Eng_iti
February 19, 2026, 6:14am
10
Naona umeanza proverbs na na kuwa philosopher. Kikombe inakujiwa na wenyewe
1 Like
Eng_iti:
…
Yuletapeli:
…Wacha niji keep busy.. nitafute pesa kama Arsenal Fc players. Mimi naumia na wao ni pesa wanatafuta.
Cc: @Dudu1
20260218_204202680×505 79.3 KB
Naona umeanza proverbs na na kuwa philosopher. Kikombe inakujiwa na wenyewe
Jana niliacha wakiwa 2-1 dakika za mwisho. Na nkaenda kudoz. Asubuhi naona 2-2. Bado sija take breko.. kuboeka.
Na support madem sahi.. hawa ni world champions, league winners, uefa champions etc.
2 Likes
Eng_iti:
… pesa wanatafuta.

20260204_0727101655×2048 348 KB
img_1_17714828201971068×1335 203 KB
Mancity washinde game yao na arsenal wa draw. Still Arsenal watakuwa mbele na goal difference. Arteta never learned anything last seasons. Kurudia makosa na ni very stubborn.
Kama ni experiments piga na team time ya zoezi sio main game. Already kuna team B. Na under 21. Akishindwa next two games.. mimi na Arsenal Fc tuna divorce.. [machos].
[Machos]
3 Likes
Dudu1
February 19, 2026, 9:42am
14
Yuletapeli:
…al Fc players. Mimi naumia na wao ni pesa wanatafuta.
Cc: @Dudu1
20260218_204202680×505 79.3 KB
Naona umeanza proverbs na na kuwa philosopher. Kikombe inakujiwa na wenyewe
Jana niliacha wakiwa 2-1 dakika za mwisho. Na nkaenda kudoz. Asubuhi naona 2-2. Bado sija take breko.. kuboeka.
Na support madem sahi.. hawa ni world champions, league winners, uefa champions etc.
20260204_0727101655×2048 348 KB
As usual wanaficha aibu ya wanaume wao
1 Like
Dudu1:
…a wanatafuta.

Wanaume wanaaza mzuri, alafu wanaingiza baridi wakifika kwa a new environment. Wanajishuku. Arteta anipatie chance niongee na team sasa hata kama ni video call… angalau nina experience ya ku win tounaments
2 Likes