Sijawahi watch sopranos. Just started it leo
Me too.
wasee wameboeka na magay netflix wameamua waendeee old series:D:D:D:D:D::::D:D:D::DD:D:D:D::
HBO inakuanga na series moto sana - after Sopranos next nimepangia The Wire
Shieeeett
Wacha ni wa join hio series am hoping ni kitu inaisha si kuniacha hanging waiting for another season…
Inaisha na movie, the series itself is very old