[SIZE=5][FONT=book antiqua]Wizi wa madini ya tanzanite, ambayo thamani yake bado kujilikana umetokeakwenye migodi ya Tanzanite, Mererani, wilayni Simanjiro, majira ya saa nane za usiku Juni 21, mwaka huu 2018!
wizi huo unatokea huku serikali ikiwa imekamilisha ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo la migodi hiyo na kuweka kamera za kisasa kuwanasa wanaopitisha madini hayo kwa njia ya wizi.
Ukuta huo wenye urefu wa km 24.5 ulijengwa na Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuzunguka eneo la migodi ya Tanzanite na kuzinduliwa na Rais Magufuli april 6, mwaka huu
Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara, Augustino senga, alithibitisha jana kutokea kwa wizi huo!![/FONT][/SIZE]
Source: KwanzaTv
Mpaka akili itakapomkaa sawa huyu Kichaa ndio atajua wizi wa Tanzanite pale Mererani zuio lake sio kujenga huo ukuta.
Ipi faida ya ukuta ule Sasa
jouneGwalu:
[SIZE=5][FONT=book antiqua]Wizi wa madini ya tanzanite, ambayo thamani yake bado kujilikana umetokeakwenye migodi ya Tanzanite, Mererani, wilayni Simanjiro, majira ya saa nane za usiku Juni 21, mwaka huu 2018!
wizi huo unatokea huku serikali ikiwa imekamilisha ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo la migodi hiyo na kuweka kamera za kisasa kuwanasa wanaopitisha madini hayo kwa njia ya wizi.
Ukuta huo wenye urefu wa km 24.5 ulijengwa na Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuzunguka eneo la migodi ya Tanzanite na kuzinduliwa na Rais Magufuli april 6, mwaka huu
Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara, Augustino senga, alithibitisha jana kutokea kwa wizi huo!![/FONT][/SIZE]
Source: KwanzaTv
Karibu mwanakijiji, jouneGwalu kwenye kambi ya wakimbizi nchi jirani…
idawa1
June 25, 2018, 2:46pm
5
Kwa hiyo ule ukuta ni hasara tu.!
Lelo
June 25, 2018, 2:47pm
6
Ukuta ulisaidia…law sivyo wangeiba hadi mashine
Mimi ningekua mfanyakazi wa apo mgodini ningefuga njiwa. Wakiingia mgodini nawafunga madini mgodini nikifika nyumbani nawafungua kiroho safi
Mende
June 25, 2018, 3:05pm
8
Mmmhhh… haya maamuzi ya kujenga ukuta sina hakika kama yalikuwa ni matokeo ya uchambuzi wa kisayansi. naona ilikuwa kama kawaida ya JPM, maamuzi ya papo kwa papo. na gharama hiyo sidhani kama ilikuwa kwenye bajeti
Ukiwa mtu wa kutumia nguvu…
Akili ni ANASA.
Dah we Mtumishi, kumbe ulishatangulia huku!
Safi sana aisee!
Tukutane kwenye jukwaa letu kule…
Msimu wa Ziff huu, tuna mawili matatu ya kusemezana!
Mi nipo huku kitambo, walipoifungia JF nikaanza kutafuta kiota cha kujifichia, mara paap nikajikuta nimeangukia huku…
Mtoa taarifa kazi anayo! Jiwe lazma aseme nae.
gm_man
June 25, 2018, 3:22pm
14
jouneGwalu:
[SIZE=5][FONT=book antiqua]Wizi wa madini ya tanzanite, ambayo thamani yake bado kujilikana umetokeakwenye migodi ya Tanzanite, Mererani, wilayni Simanjiro, majira ya saa nane za usiku Juni 21, mwaka huu 2018!
wizi huo unatokea huku serikali ikiwa imekamilisha ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo la migodi hiyo na kuweka kamera za kisasa kuwanasa wanaopitisha madini hayo kwa njia ya wizi.
Ukuta huo wenye urefu wa km 24.5 ulijengwa na Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuzunguka eneo la migodi ya Tanzanite na kuzinduliwa na Rais Magufuli april 6, mwaka huu
Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara, Augustino senga, alithibitisha jana kutokea kwa wizi huo!![/FONT][/SIZE]
Source: KwanzaTv
kipindi hiki wanachotaka kupitisha bajeti hewa yao tutaona movie za kila aina
jouneGwalu:
[SIZE=5][FONT=book antiqua]Wizi wa madini ya tanzanite, ambayo thamani yake bado kujilikana umetokeakwenye migodi ya Tanzanite, Mererani, wilayni Simanjiro, majira ya saa nane za usiku Juni 21, mwaka huu 2018!
wizi huo unatokea huku serikali ikiwa imekamilisha ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo la migodi hiyo na kuweka kamera za kisasa kuwanasa wanaopitisha madini hayo kwa njia ya wizi.
Ukuta huo wenye urefu wa km 24.5 ulijengwa na Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuzunguka eneo la migodi ya Tanzanite na kuzinduliwa na Rais Magufuli april 6, mwaka huu
Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara, Augustino senga, alithibitisha jana kutokea kwa wizi huo!![/FONT][/SIZE]
Source: KwanzaTv
Nikisema huyu mkuu wetu hayuko timamu upstairs, watu wanabisha wakidhani natukana tu! Mtakuja kuniambia! Viasharia vyote vya mental issues anavyo mkulu! Na kumtukana ni kama uonevu tu, sema shida sasa ni kwamba anaongoza nchi!
Mwifwa
June 25, 2018, 3:42pm
16
Ukimshauri anasema hashauriki, ukipendekeza na kukosa unaitwa sio Mzalendo.
Sasa Uzalendo wake ndio tunauona sasa baada ya miezi 2 tu ya kukamilisha uzalendo wake Mererani
jouneGwalu:
[SIZE=5][FONT=book antiqua]Wizi wa madini ya tanzanite, ambayo thamani yake bado kujilikana umetokeakwenye migodi ya Tanzanite, Mererani, wilayni Simanjiro, majira ya saa nane za usiku Juni 21, mwaka huu 2018!
wizi huo unatokea huku serikali ikiwa imekamilisha ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo la migodi hiyo na kuweka kamera za kisasa kuwanasa wanaopitisha madini hayo kwa njia ya wizi.
Ukuta huo wenye urefu wa km 24.5 ulijengwa na Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuzunguka eneo la migodi ya Tanzanite na kuzinduliwa na Rais Magufuli april 6, mwaka huu
Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara, Augustino senga, alithibitisha jana kutokea kwa wizi huo!![/FONT][/SIZE]
Source: KwanzaTv
Mlinzi wa Ukoo Hassan Ngoma na Baba yake wa Feri wana taarifa?
Waibe madini wakati kuna wajeshi wa kutoka kwa Kagame? Utakuwa hauko serious wewe!!
Hii wanawazuga watu wasizungumzie mabilioni ya korosho