Hii season ni ya watu wakona wivu kabisa. Ilianza na wakisii kuchoma gari ya jirani yao juu ya wivu. Now it has extended to Embu where someone poisoned a neighbour’s cow. The amount if jealousy people have especially huko ocha when you are doing better than them is very bad.
Most of the jealous people will never understand that sabotaging someone is only temporary. The skills to be the best Iko Kwa akili. The timelines to bounce back is very short. They will return better and stronger. Karma will serve the sabotaging person a very cold revenge. Watu bladifakin. Unapata their lives ziko na swara Kila saa
Baadala umbwa ya mtu ikuje kukuuliza vile inaweza fanya ikuwe kama wewe kazi ni wivu na rumours za kijinga. Hata hivyo, the comeback will be messy and noisy for the jealous neighbours. You cannot keep a good man down.
Many animals including humans and cows die every day due to disease, accidents and other causes. Nothing to do with wivu or witchcraft. The farmer should produce toxicological and postmortem results and CCTV footage to prove the cow was poisoned by the so called jealous neighbour.
Kuna mmoja alinitafuta juzi lakini ikabidi nimpee pin location ya mradi fulani niko nayo ndio tucatch up. Jamaa kutoka hio siku haniongeleshi hadi nashindwa nini mbaya na mraiyaa.
Kuna maumbwa hucatch feelings za kipuzi. Halafu avoid poor relatives if you can. They usually have this juvenile fantasy that ukikataa kuwasaidia one day utasota ukuwe kama hao. To the most part, they are just out to use and fleece you.