Wivu itawamalisa

Screenshot_20230602_055420_TikTok.jpg

Psahd!

Huyo ni @Mundu Mulosi Bs Ms Ma PhD and ScD

Reason why some folks invest outside of their ancestral areas eg in isinya, kitengela etc wivu ya relatives and neighbours ni mingi

Wivu @uwesmake ako nayo hii ni KAZI yake . Alipea freshian za muanamuke busaa expired

Ata mmi nimeskia uchungu

Lazima ni mbaruyia na ni close relative…wivu mbaya sana hawa watu wangu

Watu wana roho chafu hapa inje…

I love Cows, why…
…Sobbing…

Eh!!! Wivu ni mbaya

[SIZE=7][COLOR=rgb(184, 49, 47)][FONT=verdana]FAKE NEWS:[/FONT][/SIZE]

[SIZE=5][COLOR=rgb(184, 49, 47)][FONT=verdana]These cows belonged to Emurua-Dikir MP Johanna Ngeno His herd of 24 Holstein Friesian cattle worth Sh2.5 million died after feeding on a poisonous imported mineral product [/FONT]

[COLOR=rgb(184, 49, 47)][FONT=verdana]2021 Incident[/FONT][/SIZE]

[SIZE=7][COLOR=rgb(184, 49, 47)][FONT=verdana]1685687101324.png[/FONT][/SIZE]

[SIZE=7][COLOR=rgb(184, 49, 47)][SIZE=4][COLOR=rgb(0, 0, 0)][FONT=tahoma] https://www.standardmedia.co.ke/rift-valley/article/2001375046/mp-counts-huge-losses-after-24-cows-die [/FONT][/SIZE][/SIZE]

What does she mean by what they go through in that country?

The lengths they go to earn their money

Ahsante kaka ndindu. Hio story hapo juu imenifanya nione huruma kweli kweli.

The original creator of the fake news meant to say that Kenyans working in Saudi Arabia undergo through a lot of trouble just to earn a living. He wanted to make the story look real that those cows belong to a woman working in Saudi

Tunajua

Tunajua wanapea mwarabu mcea lakini hawakufukuzwa Kenya.

Si hurumiangi hawa mambotch…wengi wao wana uana wenyewe kwa wenyewe na wengi bado ukiwaambia warudi Kenya wanakataa…kazi ni iyo umesema apo ju…i find Arabs some of the best people to work with…mimi kwanza ju ya language barrier nime thrive I place…i just tell the damn pink skin sijui Arabic only English… conversation inaishia apo:D

Fake news makes you an ethnic profiler?

@jaymoh bado unauza mkia Riyadh?

Hii stori za hizi ngombe tulichambua hapa karibu two seasons ago.

Western Kenya is the capital of jealousy. Luo, Kisii and Luhyas lead in that domain. Anybody who has made something or himself should keep a long distance between him and his relatives.