Windows 10 Login taking forever

@fundimnoma kuja kidogo,

Kwa hii thread mlisaidia sana kublock the annoying updates.

Asante sana kwa elders walishare knowledge hapo.

Now I am forced to be patient for at least 10 min before windows opens,

Kuna any remedies?

Buy SSD.

1 Like

Unfat!

Niko na HDD sahii omwami,

Should I get ssd and install windows?

Exprain mkumbwa.

Inakaa Windows 10 inakutomba rasa

1 Like

reinstall latest version, zima updates. probably corrupted files or your computer is outdated… nuugu!

1 Like

Ahsande mkUMBWA.

Sio kamzee vile, coi5 Wacha niformart then disable the updates.

probably ulizima while updating or haungoji izime completely… format install fresh copy… repair usually makes it worse

1 Like

Very true nakumbuka before I found the thread ya kublock windows update nilikuwa na popup ya windows ina update.

Alafu OS unadownload wapi mkuu?

We hutumia zile activated copies za torrents?

tumia power iso to write a bootable copy to flash ama DVD

1 Like

Windows iko kwa website ya Microsoft. Ubaya hiyo haikuangi activated. Unaeza install zenye zimecrackiwa tayari