Winding up my Mashujaa Day

Today was a nice day thanks to Almighty. I was planning to get mnazi and mbuzi for weekend chilling out na maboys but i ended up overworking myself in gym (gym hoeing day).

Baadae nikasema wacha nipige round nikikagua some sites around but njaa ikanirape along the way.

I had to rush home and cook a nice Westernised lunch. Nikabomoa quarter nikaona nilean back nivute hewa niendelee. Nikazima. Ndio nmeamka sasa.

Pic before man went down.
[ATTACH=full]202520[/ATTACH]

naona umeweka padlock si we ini mchoyo …

Socks Ni 50 Bob.

you’ll never hear the end of those socks kilometric. oa haraka…

Mwisi was picha.

Watu wanakula stable/staple food na kijiko wataenda hell sindwe.

Hehe…thought jamaa anasema quarter kilo ya nyama kumbe he means quarter as in tetra pack ya maziwa

Bora Uhai…

Hiyo iko hapo ndio isipotee.

Ni ya kukorogea mala.

Hio mwanya kwa mlango si huwa inaingiza baridi Sana usiku

hii tuliona before uibe

Thought so too. The casual way the story and pictorial evidence are thrown around is suspect… @pamba kuja vakisha yeye bangili…

Nunua sock na osha nyumba wacha kuishi kama mbuzi

:frowning:

https://scontent-dfw5-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/14720476_10155322433813572_5689556636694531132_n.jpg?_nc_cat=110&_nc_ht=scontent-dfw5-1.xx&oh=cb7d6e171be6b77bae55f3c2dd5e7d67&oe=5C3F3B99